Diamondplatnumz:Sio kwamba sina nilichosikia ila kuna mda…………
Diamondplatnumz : Sio kama sina chakuongea na watoto wangu (HARMONIZE & RAYVANNY) ila kuna WAKATI inabidi kunyamaza maana KILA Nitakalosema kwa WAKATI huu itakuwa kama nkafanya kitu wanaita Kiki
Hawa ni watoto wangu wamekulia KWANGU na bado wapo chini yangu