Diamond azungumzia ugomvi wa Rayvanny na Harmonize

@Diamondplatnumz:Nafahamu KILA kinachoendelea sio kama sijui…. Naomba WATU wapembembeni wanyamaze wawaache kwanza vijana wangu… Hizi MAMBO za KAWAIDA wabongo mnashindwa nini kujiongeza PEOPLE ARE JUST PROVOKING hawaelewi hata nini kinaendelea……….

Leave a comment

Design a site like this with WordPress.com
Get started